FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

Hadi sasa bado naamini kuwa Simba angeshinda hii mechi kama angeanza na kikosi cha kwanza/kikosi anachokitumia CAF. Ujuaji umewaponza. Wenzao wanateseka na majeruhi, wao wanacheza fitness yao. Kama ni maandalizi ya CAF..
....si ndo mazoezi uenyewe????
Nipenda hii comments
 
Hizo imani zako za kiboya simba haina usoro km huo.ila uwezo wa wafungaji tu ndio ovyo na kikosi kilichopangwa ovyo. Mwalimu kaacha kuwatumia wachezaji baadhi ili.kuwa linda na majeraha kwa ajili ya mechi ijayo.
Chama ana mechi gani ya muhimu kushinda hii. Onyango ana kadi mbili za njano na Kanoute pia kwa nini wasicheze leo ilhali game ya shirikisho hawatacheza!?

Pablo ni kocha wa hovyo kuwahi kuwepo Simba tangu masoud djuma.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Wapasuke, bench leo la ugundi washaona hawana jeuri ya kuchukuwa ubigwa
 
Chama ana mechi gani ya muhimu kushinda hii. Onyango ana kadi mbili za njano na Kanoute pia kwa nini wasicheze leo ilhali game ya shirikisho hawatacheza!?

Pablo ni kocha wa hovyo kuwahi kuwepo Simba tangu masoud djuma.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huyu Pablo Kwa Jinsi Alivyokuwa Akiongelewa Baada Ya Mechi Na USGN Akija Kuona Hapa Saiv Kinachoongelewa Dhidi Yake Anaweza Kufariki.
 
Simba inawachezaji quality waliozoea kucheza kwny viwanja bora, usitegemee kuona simba akipata matokeo viwanja vya ugenini sababu sio rafk kwa wachezaji ila cha ajabu wasiojua mpira wanamlaumu kocha
Pointless
 
Huyu Pablo Kwa Jinsi Alivyokuwa Akiongelewa Baada Ya Mechi Na USGN Akija Kuona Hapa Saiv Kinachoongelewa Dhidi Yake Anaweza Kufariki.
Tatizo la pablo sugu ni kwenye kufanya team selection (na sio mara moja). aliwazarau polisi na kuzarau umuhimu wa point 3 za leo.

Kulikuwa na haja gani ya kuwaweka benchi wachezaji ambao kwenye game ijayo vs Pirates hawachezi

OscarOscar kasema tusubiri tukishatolewa huko shurikisho ndio tutayasikia vizuri maumivu ya kupoteza point mbili leo. Mm nakubaliana nae.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Chama ana mechi gani ya muhimu kushinda hii. Onyango ana kadi mbili za njano na Kanoute pia kwa nini wasicheze leo ilhali game ya shirikisho hawatacheza!?

Pablo ni kocha wa hovyo kuwahi kuwepo Simba tangu masoud djuma.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Anakasirisha kwa Kweli aisee. Na hata km kuna mechi ya shirikisho ndio mchezaji akae wiki 2 bila kucheza upuuzi tu. Olewake otelewe na huko shirikisho
 
Back
Top Bottom