FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

Tatizo la pablo sugu ni kwenye kufanya team selection (na sio mara moja). aliwazarau polisi na kuzarau umuhimu wa point 3 za leo.

Kulikuwa na haja gani ya kuwaweka benchi wachezaji ambao kwenye game ijayo vs Pirates hawachezi

OscarOscar kasema tusubiri tukishatolewa huko shurikisho ndio tutayasikia vizuri maumivu ya kupoteza point mbili leo. Mm nakubaliana nae.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kudharau maana yake nini??
 
Anadharau mechi muhimu za kukusanya point 3
Mkuu Simba ni mbovu sio kudharau, ni mbovu, kwani hao unaowataja hawakuingia kipindi cha pili?? Mbona katikati palikufa zaidi??
Ushabiki maandazi huo, yaan una amini kuwa Simba ni timu nzuri na haistahili kutoa sare na polisi??
 
Daah hizi mechi za katikati ya siku na kipindi hiki cha mfungo zinatia uvivu ila kwasababu ni myama hatuna budi
Sasa kocha anapumzisha Chama wakati Chama ana mashindano ya ndani pekee, analenga nini? Anapanga kufail kabla ya kuanza!
 
Upangaji wa kikosi ndio ulikua mbovu kina chama wangeanza na sakho unadhani tungekosa hata goli moja ???

Back
Top Bottom