CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Kudharau maana yake nini??Tatizo la pablo sugu ni kwenye kufanya team selection (na sio mara moja). aliwazarau polisi na kuzarau umuhimu wa point 3 za leo.
Kulikuwa na haja gani ya kuwaweka benchi wachezaji ambao kwenye game ijayo vs Pirates hawachezi
OscarOscar kasema tusubiri tukishatolewa huko shurikisho ndio tutayasikia vizuri maumivu ya kupoteza point mbili leo. Mm nakubaliana nae.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app