Liutenant
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 590
- 899
Ushindi wa kudumu kwa Mkapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindi wa kudumu kwa Mkapa.
Robo finally?Heshima ya taifa siku zote inatoka msimbazi.
Mngechukua point kwa Polisi kwanzaKawapokee mawifi zenu tunawasubiria jumapili.
Tumechukua moja.Mngechukua point kwa Polisi kwanza
Kuomba kupokezana ndio mpira ulivyoTumechukua moja.
Ni kweli. Akishinda Simba kila siku ligi itakuwa haina mvuto.Kuomba kupokezana ndio mpira ulivyo
Nipenda hii commentsHadi sasa bado naamini kuwa Simba angeshinda hii mechi kama angeanza na kikosi cha kwanza/kikosi anachokitumia CAF. Ujuaji umewaponza. Wenzao wanateseka na majeruhi, wao wanacheza fitness yao. Kama ni maandalizi ya CAF..
....si ndo mazoezi uenyewe????
Chama ana mechi gani ya muhimu kushinda hii. Onyango ana kadi mbili za njano na Kanoute pia kwa nini wasicheze leo ilhali game ya shirikisho hawatacheza!?Hizo imani zako za kiboya simba haina usoro km huo.ila uwezo wa wafungaji tu ndio ovyo na kikosi kilichopangwa ovyo. Mwalimu kaacha kuwatumia wachezaji baadhi ili.kuwa linda na majeraha kwa ajili ya mechi ijayo.
Guvu moyaaTumechukua moja.
Captain Wenu Bocco Ndo Anawajaza Upepo Kiasi Hicho Au Ni Yule Kiungo Wenu Punda Mzamiru [emoji1787], Nasemaje Mkichukua Ubingwa Huko Niuwawe.Tunachukua bila wasiwasi.
Huyu Pablo Kwa Jinsi Alivyokuwa Akiongelewa Baada Ya Mechi Na USGN Akija Kuona Hapa Saiv Kinachoongelewa Dhidi Yake Anaweza Kufariki.Chama ana mechi gani ya muhimu kushinda hii. Onyango ana kadi mbili za njano na Kanoute pia kwa nini wasicheze leo ilhali game ya shirikisho hawatacheza!?
Pablo ni kocha wa hovyo kuwahi kuwepo Simba tangu masoud djuma.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
PointlessSimba inawachezaji quality waliozoea kucheza kwny viwanja bora, usitegemee kuona simba akipata matokeo viwanja vya ugenini sababu sio rafk kwa wachezaji ila cha ajabu wasiojua mpira wanamlaumu kocha
Tatizo la pablo sugu ni kwenye kufanya team selection (na sio mara moja). aliwazarau polisi na kuzarau umuhimu wa point 3 za leo.Huyu Pablo Kwa Jinsi Alivyokuwa Akiongelewa Baada Ya Mechi Na USGN Akija Kuona Hapa Saiv Kinachoongelewa Dhidi Yake Anaweza Kufariki.
Anakasirisha kwa Kweli aisee. Na hata km kuna mechi ya shirikisho ndio mchezaji akae wiki 2 bila kucheza upuuzi tu. Olewake otelewe na huko shirikishoChama ana mechi gani ya muhimu kushinda hii. Onyango ana kadi mbili za njano na Kanoute pia kwa nini wasicheze leo ilhali game ya shirikisho hawatacheza!?
Pablo ni kocha wa hovyo kuwahi kuwepo Simba tangu masoud djuma.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Si tulikubaliana kafundisha Real Madrid uyo imekuwaje awe kocha wa hovyo tenaPablo ni kocha wa hovyo kuwahi kufundisha Simba.
Ni bora aletwe Masudi Juma.
Pumbavu zake.
Anadharau mechi muhimu za kukusanya point 3Si tulikubaliana kafundisha Real Madrid uyo imekuwaje awe kocha wa hovyo tena