FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

Kudharau maana yake nini??
 
Anadharau mechi muhimu za kukusanya point 3
Mkuu Simba ni mbovu sio kudharau, ni mbovu, kwani hao unaowataja hawakuingia kipindi cha pili?? Mbona katikati palikufa zaidi??
Ushabiki maandazi huo, yaan una amini kuwa Simba ni timu nzuri na haistahili kutoa sare na polisi??
 
Daah hizi mechi za katikati ya siku na kipindi hiki cha mfungo zinatia uvivu ila kwasababu ni myama hatuna budi
Sasa kocha anapumzisha Chama wakati Chama ana mashindano ya ndani pekee, analenga nini? Anapanga kufail kabla ya kuanza!
 
Upangaji wa kikosi ndio ulikua mbovu kina chama wangeanza na sakho unadhani tungekosa hata goli moja ???
Mkuu Simba ni mbovu sio kudharau, ni mbovu, kwani hao unaowataja hawakuingia kipindi cha pili?? Mbona katikati palikufa zaidi??
Ushabiki maandazi huo, yaan una amini kuwa Simba ni timu nzuri na haistahili kutoa sare na polisi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…