FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

Waamuzi wa Tanzania anaweza kufanya vizuri Muda wote akaharibu mwishoooni. Shaban Djuma ni mchezaji mkubwa anapaswa kuwa na nidhamu ya mchezo kuliko Wachezaji chipukizi. Hili ni tukio la pili namuona anafanya upuuzi kama huu. Kwa aliyeangalia vizuri Mechi dhidi ya Coast alimkanyaga makusudi kiungo wa Coast akiwa chini bila sababu ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…