Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
94'
Police Tanzania 0- 1 Young Africans
Police Tanzania 0- 1 Young Africans
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safiii92'
Police Tanzania 0 - 1 Young Africans
DK 3 ziliongezwa
Yahya mbegu mpumbavu huyu juma shabani ni kina kapombe 2 (maneno ya mchambauzi) ilitakiwa alindwe yeye anamkanyanga tena makusudi kwenye enkaHuyu mkongo juma shaban analeta uhuninwa lubumbashi
Halikuwa zuri, ila huyu beki kazingua kumkanyaga makusudiTukio aliofanya Djumba Shabani Linaweza kumpa Kadi Nyekundu
GSM watalifuta. Refa hataionaTukio aliofanya Djumba Shabani Linaweza kumpa Kadi Nyekundu
Sio kwa hela za GSMDJUMA clear RED CARD.
Wajinga hao mwaka juzi viporo 10+ hahaha ligi ama upumbavu alafu mtu anajisifu kubeba ndooNyie endeleeni kutengenezewa viporo na baba yenu TFF, ila ngoma inayeya.
Sahihi, ila kwA makusudi kama yale ya kumtegua enka unampa Kadi gani mchezaji wa polisi maana djuma hakuwa na mpiraDJUMA clear RED CARD.
😀😀😀😀Af mess anaumwa anajifanya feisal[emoji23][emoji23][emoji23]