wameufungia ule uwanja?Leo uwanja wa Manungu Tifua wanajifanya kuufungia.
Dawa yao ipo Jikoni
Usikhofu,yanga watashinda kama kawaidaNaam naona kipute kimewaka,ngoja niagize chupa yangu ya kahawa niangalie kama hii leo Uto watasalimika kwenye mikono ya vijana wa Siro!
Acha woga,ushindi upoMi ni yanga ila madogo wanaupiga sio utani
Hapana niwe muwazi hawa madogo mpaka dakika hii wamecheza vizuri kuliko sisiAcha woga,ushindi upo
Tifua Tifua hawajielewi.Eti uwanja wa Manungu baada ya kuwachezesha Simba leo Umefungiwa.
Hii ni hatari sana.
nafasi ya tatu atapataHaya sasa tunaanza kuhesabu zile nafasi za wazi ambazo mayele anakutana nazo na anakosa magoli
Hii ni nafasi ya pili kwa huu mchezo
Kapata sasa hivi nafasi ya tatu ila siwezi kumlaumunl kwasababu ulikuwa mpira wa juu sana ulimzidi kimonafasi ya tatu atapata
Unanafuu.Vip uwanja ni nzuri au mbaya? Niambie kama ni mbaya sicheki game kabisa