Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
widely regarded, wote waliofuzu wanakidhi achilia mbali Ureno ambayo ts Ranked 5th in the world kama sijakosea na wana CR7. kwanini wasiwe?Vipi Ureno nae ni 'Title Contender '....?..
widely regarded, wote waliofuzu wanakidhi achilia mbali Ureno ambayo ts Ranked 5th in the world kama sijakosea na wana CR7. kwanini wasiwe?Vipi Ureno nae ni 'Title Contender '....?..
Ana vizia hataki kuchoka babu penaldoHuyo Mbuzi Pori wenu bado hajafunga ?
Argentina eeeeh...Hii ureno ndo inatarajiwa kubeba kombe?
Ngoja wakutane na wanaojua mpira watachezea zadi ya goli 3
Ureno kaimbwa sana Kumbe nae hana maajabu..Hahaha, kweli kuna watu mnapenda.
Mwakilishi mwenzetu Africa tunamkazia.Ureno kaimbwa sana Kumbe nae hana maajabu..
Huyu CR 7 ndio sababu...😃😃😃.Mwakilishi mwenzetu Africa tunamkazia.
Naona wanaanza kuzingua, wamepaki basi vizuri, ika counter attacks zao hazina madhara, wakipata goli wao mechi itazidi kunoga ika wao wakifungwa ngumu kuchomoa na kuongeza.Wakaze hivyo hivyo mamaee
92'Dakika ya ngapi huko. Ni upuuzi kutaka DRC tufungwe kwa sababu ya ushabiki wako kwa CR7