Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
DRC forever, naona watanzania mnavyohama hama timu , hahahaha
Tuachie Timu yetuCongo wamejitahidi ila Ureno wanawachezaji wa daraja la juu kuliko Congo.
DRC 🇨🇩 foreverUbora wa timu hatuangalii madaraja ya wachezaji,
Apo ni tunaangalia utekelezaji wa majukumu uwanja na muunganiko wa timu.
Unaweza kuwa na wachezaji wa daraja la juu ila huoni usaidizi wao katika timu,
Katika mechi ya Congo na Portugal basi nasema Congo ilikuwa ni timu bora dhidi ya wachezaji wa daraja la juu.
Huyu mchina msimamia madubu sijui wamemfanyajeZa jioni mkuu
Bingwa Muthatika?Congo bingwa
DRC anashinda vs Uzbekistan anaenda round inayofuataDRC walikuwa na kila sababu ya kushinda hii mechi. Hawatapata timu nyingine mbovu kama hii kwenye hii tournament. Uzbekistan na Colombia ya akina James Rodriguez ni ya moto sio kidogo.