Warld
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 2,166
- 5,600
Huyo balaa 🔥🔥Bissaka kwenye tackling, hajawahi niangusha
Huyo balaa 🔥🔥Bissaka kwenye tackling, hajawahi niangusha
Added ngapi
5Added ngapi
Ureno wanapelekewa motoAdded ngapi
Huyu hapigi takoling anapiga bololing kabisaHuyo balaa 🔥🔥
Mkuu Congo unawaonaje maana unapoisifia ureno usisahau kuisifia na Congo maana ndiyo timu iliyostahili kushinda ni vile strickers hawana utulivu.Ureno kushnei bonge la timu ila kocha kimeo pili wanauogopa Ronaldo,ila wana bonge la timu.
Wawekezaji 😅😅
Hawa watu hawakomi. Walilapuliwa Cape Verde na Ivory Coast ila bado wapo tuWawekezaji 😅😅
Mwanaume huyu
Hawa watu hawakomi. Walilapuliwa Cape Verde na Ivory Coast ila bado wapo tu
Mkuu naomba ni ku tag sehemu?DRC wamesimama imara kwa kweli.
Bravo.