FT: Portugal 1-1 DR Congo | World Cup 2026 | NRG Stadium (Houston, TX)

Vipi Ureno nae ni 'Title Contender '....?..
widely regarded, wote waliofuzu wanakidhi achilia mbali Ureno ambayo ts Ranked 5th in the world kama sijakosea na wana CR7. kwanini wasiwe?
 
Wakaze hivyo hivyo mamaee
Naona wanaanza kuzingua, wamepaki basi vizuri, ika counter attacks zao hazina madhara, wakipata goli wao mechi itazidi kunoga ika wao wakifungwa ngumu kuchomoa na kuongeza.
 
Huyu dogo wa Ureno anayecheza no saba ni hatari, Ureno wana bonge la timu sema basi tu wanamwendekeza Cristian ila jamaa wakuanzia benchi.
 
🎼🎡 Nzela ya makambo, Nzela ya makambo. Voyage ya makambo, voyage ya makambo kimera. Naloba nini eeeh? (Loba!) 🎢 Congo shikilieni hapo hapo hadi mtu fulani atangaze kustaafu soka kesho. πŸ˜‚πŸ€£
 
Bakambu na wenzie hapo mbele wana mawenge, hawana utulivu.
 
Siuuuuuh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…