Umri umesogea.Huyu CR 7 ndio sababu...๐๐๐.
Ila bado tunasimama na Mayelle.
Kuna watu wamefurahi sana game kutoka hivyo yuko wapi TheGreatest Of AllTime aje atoe neno kidogoHiki ndio nilikuwa nakitaka kitokee, Congo wasawazishe game ianze upyaaa !
Za jioni mkuuMsenge tu huyo kumร la mama yake
Mbuzi ni mmoja tu La Pulga
Ndugu zako wao na kipa wanakosa ๐ ๐DRC walikuwa na kila sababu ya kushinda hii mechi. Hawatapata timu nyingine mbovu kama hii kwenye hii tournament. Uzbekistan na Colombia ya akina James Rodriguez ni ya moto sio kidogo.
Ngoja wakutane na ujerumani.Kwa wanavyocheza Portugal wasahau kabisa kufika hata Robo, lazima wabadilike tena haraka Sana. They have no cards, Nadhani Wana Ile Ego ya kuwa Sisi ni taifa kubwa la kisoka, hii kitu ndio inayowatafuna Brazil, wanasahau kuwa wanatakiwa wao ndio wateseke uwanjani na sio kurelax...Kocha kiazi Yule.
NB: Wazee wa kubeti msikariri, Leo nimeamua kucheki mpira na watu bar kuna dogo katumwagia pombe za kichwa Kwa hasira Kisa Portugal kachana sjui wanaita mkeka, nimemchapa Kofi moja.
Ana vizia hataki kuchoka babu penaldo
Msenge tu huyo kumร la mama yake
Mbuzi ni mmoja tu La Pulga
Ndugu zako wao na kipa wanakosa ๐ ๐
Watajutia hii game ngoja tuone ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟWamecheza hovyo; Portugal walikuwa weak sana, walipaswa kushinda hii game.
Anytime.Mkuu naomba ni ku tag sehemu?
Bado walikuwa kama wamepigwa but butwaa hivi akili hazichangamka, ukizingatia ni wolrd cup hiyo wakimwangalia na Ronaldo wanachoka, kumbe Ronaldo mwenyewe shemeji tuHawa comgo mbona kama wame lazimishwa kucheza
Congo wamejitahidi ila Ureno wanawachezaji wa daraja la juu kuliko Congo.Mkuu Congo unawaonaje maana unapoisifia ureno usisahau kuisifia na Congo maana ndiyo timu iliyostahili kushinda ni vile strickers hawana utulivu.
Ubora wa timu hatuangalii madaraja ya wachezaji,Congo wamejitahidi ila Ureno wanawachezaji wa daraja la juu kuliko Congo.