FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

Ila mbona timu zingine hazinq hamasa ya Simba??.yani mashabiki wa power mbona hwapo....
 
12'

Shomari Kapombe amechezewa faulo

Ulikuwa ni mpira wa kichwa mchezaji wa Power Dynamo alirusha mguu ambao ulimgonga Kapombe maeneo ya kichwani

Refa kashika kadi ya njano tayari kwa kumpa Francis Zulu kufuatia rafu yake
 
Namna gani hapa Power Dynamo wanapata nafasi nzuri lakini uimara wa golikipa umewakatili kuoata bao la kuongoza
 
[mention]TANESCO [/mention] wamekata umeme huku aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…