Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ulitaka aoneshe pira papatu papatu[emoji23][emoji23]Nguvu Moja. Mwenye kibanda anaonyesha Utopolo
[emoji81][emoji81]uamini majicho auDoh mbona ni kama wanatushambulia?
Wacheza wao tu.....[emoji81][emoji81]uamini majicho au
Ni kawaida timu bora zikikutana.Doh mbona ni kama wanatushambulia?
Kuna ka sredi kenu kule kamepoa, ukwende huko ukangamshe.Ukiona kimya kimezidi ujuwe inawanyeeshea simba.
Kwani ni timu gani yeye...Kuna ka sredi kenu kule kamepoa, ukwende huko ukangamshe.