FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

Ila mbona timu zingine hazinq hamasa ya Simba??.yani mashabiki wa power mbona hwapo....
 
12'

Shomari Kapombe amechezewa faulo

Ulikuwa ni mpira wa kichwa mchezaji wa Power Dynamo alirusha mguu ambao ulimgonga Kapombe maeneo ya kichwani

Refa kashika kadi ya njano tayari kwa kumpa Francis Zulu kufuatia rafu yake
 
Back
Top Bottom