😂😂Klabu ya Simba leo Julai 27, 2022 imecheza mchezo wake wa tatu wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Haras El Hoduod, ambapo Simba imepoteza mchezo huo kwa kufungwa mabao mawili kwa bila.
Tulia wewe kinye😂😂
UHALISIA UNAANZA KUONEKANA
HONGERENI SANA HARAS EL HODUOD
[emoji23][emoji23]
UHALISIA UNAANZA KUONEKANA
HONGERENI SANA HARAS EL HODUOD
pure editing hata wewe huoni? na hatujacheza na Namungo leo
Si ndo mana mkaitwa mbumbumbu,unajifariji baada ya kipigo cha wauza chips
editing hii hata mtoto wangu anaiweza
Utamu kunogaKlabu ya Simba katika kuendelea kujiandaa na msimu mpya wa 2022/23 leo Julai 27, 2022 imecheza mchezo wake wa tatu wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Haras El Hoduod, ambapo Simba imepoteza mchezo huo kwa kufungwa mabao mawili kwa bila Jijini Cairo.
Walioanza upande wa Simba SC
1. Beno
2. Israel
3. Gadiel
4. Onyango
5. Henock
6. Mkude
7. Banda
8. Chama
9. Phiri
10. Sakho
11. Okrah
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
HakikaHaya ndo matokeo ya kumpa Kocha Zaron Maki, home work
Ukishinda tu kwenye PRE-SEASON utajiona umemaliza kila kitu