Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Klabu ya Simba katika kuendelea kujiandaa na msimu mpya wa 2022/23 leo Julai 27, 2022 imecheza mchezo wake wa tatu wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Haras El Hoduod, ambapo Simba imepoteza mchezo huo kwa kufungwa mabao mawili kwa bila Jijini Cairo.
Walioanza upande wa Simba SC
1. Beno
2. Israel
3. Gadiel
4. Onyango
5. Henock
6. Mkude
7. Banda
8. Chama
9. Phiri
10. Sakho
11. Okrah
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana
Walioanza upande wa Simba SC
1. Beno
2. Israel
3. Gadiel
4. Onyango
5. Henock
6. Mkude
7. Banda
8. Chama
9. Phiri
10. Sakho
11. Okrah
Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana