FT: PSG 4-2 FC Barcelona | UEFA CL | Parc des Princes | Barcelona amepasuka vibaya sana

Asante sana Fabian Ruiz
Your browser is not able to display this video.
 
Feran Torres lile shuti lake lisinge gonga mwamba nilitamani sana kuona namna angeshangilia hilo goli.

Moja ya moment bora ambayo haijatokea.
 
Sehemu ambayo SMG imeshindwa kufanya kazi, we unapeleka Rungu.

 
loose Nut
tunamuombea yamal kobaz mwenzetu inshaalah mwaka ujau
Tatizo France ni nyumbani, wangepoteza, kwa kweli kingewaka
Alhamdullilah tumeshinda
 
Hii binafsi pia imeniuma.


Vitinha kavuruga furaha ya Lamine Yamal yani ndani ya dakika moja goli la Lamine Yamal limeonekana ni ujinga.
 
Ni mwendo wa kujipigia 4, wakichukua hii kitu mara ya tatu itakuwa dharau sana! Sioni wa kuwazuia km baka anatombeka kizembe
 
Ubwabwa wa kushiba ulionekana mapema kwenye sahani.

Sahau kuhusu possession, ebu angalia tu hizo shot on targets za first half.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…