Tangu msimu unaanza nilisema na sasa narudia tena.Hawa PSG hapana aisee
Tatizo wali Rush
Kwa jina lingine wanakuita Usain Bolt JrUwa unakimbia wewe hasa Barcelona wanapoongoza kwa magoli.
Unaenda kulala na kutuachia game.
Rashford alionyesha kiwango cha juu na aliyafurahia maisha ya pale Barcelona lakini Club ilimfanyia disrespectful sana.Tatizo wali Rush
Hasira niliyoipata baada ya Lamine Yamal kufunga haikuweza kudumu ndani ya dakika 1Nna uhakika baada ya Yamal kufunga ukakimbia.
Kwa kukimbia huna mpinzani.
Risiti zako tunazo.
Barca wanajiona boraRashford alionyesha kiwango cha juu na aliyafurahia maisha ya pale Barcelona lakini Club ilimfanyia disrespectful sana.
Ruiz akaweka matangaHasira niliyoipata baada ya Lamine Yamal kufunga haikuweza kudumu ndani ya dakika 1
Vitinha alikuja kutibua sherehe
Wanaleta maozea wanajua hii ni Coper DereyBarca wanajiona bora
Nimefurahi sana wamefungwa sababu ya RashfordRashford alionyesha kiwango cha juu na aliyafurahia maisha ya pale Barcelona lakini Club ilimfanyia disrespectful sana.
Bila kuitaja timu lakini wote tunaijuaView attachment 3694440
Hiyo kwenu ndio favourite tournamentAmbayo wewe unashiriki na unashindwa kuchukua.
YakatimiaKwenye midfield na mabeki wametuzidi. Naona tukipigwa goli 4+