FT: PSG 4-2 FC Barcelona | UEFA CL | Parc des Princes | Barcelona amepasuka vibaya sana

Hawa PSG hapana aisee
Tangu msimu unaanza nilisema na sasa narudia tena.

Hatujui nani ataenda kuwa bingwa wa UEFA Champion League msimu huu.

Ila wote tunajua nani ambaye hawezi kuwa Bingwa wa hayo mashindano.
 
In search of GOLD

Barca found Aluminium
 
Kuna muda ukiitazama PSG hii iliyomchapa man city 4 na Barca kala na ubora wake then ukakumbuka fainali arsenal alisimama na hawa watu kwa dakika 120,hapo inalazimu tu kuwapa arsenal heshima yao.hawa watu ni wa deadly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…