FT: PSG 4-2 FC Barcelona | UEFA CL | Parc des Princes | Barcelona amepasuka vibaya sana

Kuna mchezaji mmoja wa Madrid juzi alitamka " barca wanashinda kwakuwa hawajakutana na timu ngumu" kumbe ni kweli
 
Ni mwendo wa kujipigia 4, wakichukua hii kitu mara ya tatu itakuwa dharau sana! Sioni wa kuwazuia km baka anatombeka kizembe
Anachukua tena PSG, mbappe atakua analilia chooni, anapishana na makombe tu.
Wakichukua na hii itakua kweli Mbappe and gundu na UEFA. lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…