Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Upamacano leo anamkaba best friend yake Dembele. Yani upi, dumbell na mpbappe ni mabest wakubwa.All the best wanangu wa paris nibonde hao watu
Hapo sasaHakuna VAR?
Wanakosaje hawaHapo sasa
Dembele kakosa goli la wazi.Wanakosaje hawa
Leo wanapigwa, mechi ya marudio inatoka sareHawa Bayern Munich ndiyo Mabingwa wapya msimu huu. Hakuna wa kuwazuia.
Bora angepiga halafu kipa akaokoaDembele kakosa goli la wazi.