Naona wamechomoa! 😀Leo wanapigwa, mechi ya marudio inatoka sare
Unamwita babu yako dogo?
Bado ngumuHawa Bayern Munich ndiyo Mabingwa wapya msimu huu. Hakuna wa kuwazuia.
Zile counter zingekubali game ingeisha mapema, sema Dembele na Doue wanazinguaBayern Lazima alazwe nyingi
Bado hamkomi tu?Bayarn anakwenda fainali na kuchabangwa na Arsenal 😎.
Arsenal ni mabingwa mwaka huu.
Ila huwezi amini ukilinganisha hii PSG na PSG ya miaka 2 iliyopita ni mbingu na nchi. Luis henrique kaijenga hii timuZile counter zingekubali game ingeisha mapema, sema Dembele na Doue wanazingua
Bado.Bado hamkomi tu?
H mechi nyeupe kwa psgZile counter zingekubali game ingeisha mapema, sema Dembele na Doue wanazingua
Gemu hii natabiri sare 3-3H mechi nyeupe kwa psg
Munich anakula 5Gemu hii natabiri sare 3-3
Munich 4-3 PSG 😎.Munich anakula 5
Mimi nashabikia PSG sababu Kuna kobazi wengi na mmliki ni koboz , Bayern wanywa visungura na Wala Nguruwe wapigwe tu MaarassDembele kakosa goli la wazi.