Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,537
- 133,017
Endelea kuotaMunich anakula 5
Endelea kuotaMunich anakula 5
Zile counter zingekubali game ingeisha mapema, sema Dembele na Doue wamezinguaBayern Lazima alazwe nyingi
Itakuwa ni zaidi, aiseeMunich anakula 5
Tayar 5 nilizosema mkuu, ngoja tugawe na nyongeza 😂Munich 4-3 PSG 😎.
Ubao Lazima uzidi kusoma 😂Itakuwa ni zaidi, aisee
Ngapi Huko mkuu 😂Endelea kuota
Ngoja nilala labda matokeo yatabadilika.Tayar 5 nilizosema mkuu, ngoja tugawe na nyongeza 😂
Haya sema kati ya Mm na ww nani anaota 😂Hii sasa fujo
Ukiamka utakuta 10-5Ngoja nilala labda matokeo yatabadilika.
Mtakuja Allianza ArenaNgapi Huko mkuu 😂
We love you 😘I Hate you PSG
Umegeuza usemi 😂Mtakuja Allianza Arena
Hii mechi inaisha 5-5. Niko serious 😎.Ukiamka utakuta 10-5
Hata Ukiwa Njombe, lazima Munich akazweHii mechi inaisha 5-5. Niko serious 😎.
Hata mimi naishabikia PSG toka zamani kwasababu ya boss wao yule mMimi nashabikia PSG sababu Kuna kobazi wengi na mmliki ni koboz , Bayern wanywa visungura na Wala Nguruwe wapigwe tu Maarass
Kama huami subiri uone. Kesho utaniheshimu na kuniogopa kama mganga wa jadi.Hata Ukiwa Njombe, lazima Munich akazwe