SAsa bundasiliga ni uefa? Waache utoto wakabe washambulie kwa mipango sio kuzungusha sketi tu kama watoto wa shule.
Ngoja wafike final harafu wacheze hivi mbele ya Arsenal, wataliwa kimoja tu hawatoamini hawachomoi mpaka dakika 90
Huyo mlemavu arsenal mtoe hapoMechi inayokuja Bayarn, anamchabanga PSG 2-0 na kwenda fainali ambapo naye atachabangwa na Arsenal bila chembe ya huruma.
Mashabiki wenzako wanaoijua Arsenal kuliko wewe, wamegeuka kuwa dogo pattern wanamuomba Guardiola awalegezee kambaMechi inayokuja Bayarn, anamchabanga PSG 2-0 na kwenda fainali ambapo naye atachabangwa na Arsenal bila chembe ya huruma.
Huyu ndo bingwa wako mpya. Kaa tayari kumpokea bingwa 😎.Huyo mlemavu arsenal mtoe hapo
Hivi nyie mko serious kweli au mnafanya trolling hapa?Hapa umenena kwa busara sana mkuu 👏.
Bado sijakata tamaa.Mashabiki wenzako wanaoijua Arsenal kuliko wewe, wamegeuka kuwa dogo pattern wanamuomba Guardiola awalegezee kamba
Tuko serious kaka.Hivi nyie mko serious kweli au mnafanya trolling hapa?
Bosi wao sio Mgalatia ni kobaziHata mimi naishabikia PSG toka zamani kwasababu ya boss wao yule m
Bayern yuko kwake halafu akufunge goli 2?Mechi inayokuja Bayarn, anamchabanga PSG 2-0 na kwenda fainali ambapo naye atachabangwa na Arsenal bila chembe ya huruma.
Kitu ninauhakika nacho ni lazima Bayarn aende fainali.Bayern yuko kwake halafu akufunge goli 2?
Eti kuomba Dua' 😂 😆 😂Hapana Mkuu
Bayern sio timu ya kujihakikishia ushindi kabisa eti kisa unaongoza goli 3
Comeback kama hizi kazifanya kama 3 kwa kipindi cha mwezi mmoja
Ni kuomba tu dua isitokee mechi ikaisha mmefungwa (kitu ambacho nakiona zaidi kikienda kutokea)
Maana nashangaa sisi tupo bize kujadili habari za drones, missiles, vifaru.Tuko serious kaka.
Hakuna goli buyern anaweza funga psg asifunge itaendelea kuwa funga ni kufunge mwenye uwezo wa kuzuia ndio atapita ni wote hawajui kuzuia ila psg ana kauafadhaliBayern yuko kwake halafu akufunge goli 2?
Hivi mkuu, pale EPL wa unaishabikia timu gani? Man U, siyo?Maana nashangaa sisi tupo bize kujadili habari za drones, missiles, vifaru.
Halafu nyinyi katikati ya huo mjadala mnataja rungu.
Tatizo la PSG ni katika kiungo tu, yaani wangempata mtu kama Luka Modrich hakika ingekuwa Best Team coz Forward yao ni hatariIla huwezi amini ukilinganisha hii PSG na PSG ya miaka 2 iliyopita ni mbingu na nchi. Luis henrique kaijenga hii timu
If that so, then thank God I'm an AtheistEti kuomba Dua' 😂 😆 😂
Mtu hata umkatae Mungu sometimes automatically unajikuta unamkubali Mungu na hapo bada haujaingia kwenye 18 zake .
Sasa kuna timu gani ya maana pale zaidi ya hiyo?Hivi mkuu, pale EPL wa unaishabikia timu gani? Man U, siyo?
PSG inakosa tu namba 6 mzuriHakuna goli buyern anaweza funga psg asifunge itaendelea kuwa funga ni kufunge mwenye uwezo wa kuzuia ndio atapita ni wote hawajui kuzuia ila psg ana kauafadhali
Kumbe ndo maana unatumia nguvu kuipuuza Arsenal.Sasa kuna timu gani ya maana pale zaidi ya hiyo?