FT: PSG 5 - 4 Bayern München | UEFA Semi Final First Leg | Parc des Princes | 28 Aprili 2026

FT: PSG 5 - 4 Bayern München | UEFA Semi Final First Leg | Parc des Princes | 28 Aprili 2026

Karata yako unairusha kwa timu ipi?


  • Total voters
    7
  • Poll closed .
Hakuna goli buyern anaweza funga psg asifunge itaendelea kuwa funga ni kufunge mwenye uwezo wa kuzuia ndio atapita ni wote hawajui kuzuia ila psg ana kauafadhali
Bayern akiwa kwake anakiwa offensive sana kwasababu mara zote anakufanya uwe nyuma ya mpira.

Hakupi room ya wewe kuifikia 18 yake labda iwe kwa counter lakini sio transition
 
Bayern akiwa kwake anakiwa offensive sana kwasababu mara zote anakufanya uwe nyuma ya mpira.

Hakupi room ya wewe kuifikia 18 yake labda iwe kwa counter lakini sio transition
Hakuna timu inayoweza kucheza offensive muda wote isikupe room ya kufika kwenye 18 yake mwanzo mwisho.

Labda acheze na anaetaka kushuka daraja au asipate goli, ila wakipata lazima watatulia kidogo kupoza ingine.

Hapo ndipo na wao wanachemshwa tena
 
Epl tu inakutoa kijasho utauweza mziki wa Uefa😂
Ndio maana sitaki lawama, hii nusu fainali naona inatutosha kabisa.

PSG anaenda fainali na kuchukua tena kombe.

Wana uwezo wa kufunga zaidi ya goli mbili uwanja wowote, na wana discipline kwenye defence zaidi ya Bayern.

Walivyokuwa wakiongoza 5-4 Enrique akaanza kufanya sub za kupunguza speed ya mchezo, kitu kilichowasaidia kuondoka na advantage ya goli moja kwenda nayo Germany.

Kama PSG angeendeleea kupishana na Bayern basi Bayern angeweza shinda 5-6. Ila Bayern kwa kutulizwa na zile sub za PSG na wakatulia, basi hata Ujerumani naamini Bayern atatulizwa ki tactical zaidi.
 
Ni end to end mwanzo mwisho, hizi timu zote kwenye nidhamu ya ulinzi ni za kawaida Sana, Tulisema kule juu kuwa lazima watoboane Magoli mengi maana Kila mmoja anachezea strength Yake bila kujali udhaifu wao as long as Wana uwezo wa kufunga Magoli...Kwa jinsi wanavyocheza hawa Jamaa basi mechi ya pili watatoboana tena Magoli ya kutosha pia..Timu itakayoingia fainali baina ya timu hizi mbili ni Ile itakayoweza kuhold eneo la kiungo vizuri...
 
Back
Top Bottom