FT: PSG 5 - 4 Bayern München | UEFA Semi Final First Leg | Parc des Princes | 28 Aprili 2026

FT: PSG 5 - 4 Bayern München | UEFA Semi Final First Leg | Parc des Princes | 28 Aprili 2026

Karata yako unairusha kwa timu ipi?


  • Total voters
    7
  • Poll closed .
Kafuatilia ligi ya Bundersliga mechi alizocheza Bayern utaona magoli wao sio shida zao.

Mpira unatakiwa uwe hivi sio kama ligi ya Italy wanavyotuibia.
SAsa bundasiliga ni uefa? Waache utoto wakabe washambulie kwa mipango sio kuzungusha sketi tu kama watoto wa shule.

Ngoja wafike final harafu wacheze hivi mbele ya Arsenal, wataliwa kimoja tu hawatoamini hawachomoi mpaka dakika 90
 
Back
Top Bottom