FT: RS Barkene 1-1 (5-4) Orlando Pirates final

FT: RS Barkene 1-1 (5-4) Orlando Pirates final

Nikweli ila ilikuwa uboya kucheza fainali mbili........sema hakuna blanding nzuri ya hayo mashindano,na promotion ni veri pua
Asia still wanacheza final 2 sababu wanashida tofauti na sisi sio kiuchumi ila mashabiki team hazina mashibiki wa kusafiri kwa wingi kuangalia team zao tofauti na ulaya fan base ni kubwa na watu kila mechi wanajaza uwanja hata wacheze na team ya daraja la 3 full capacity, sisi huku tunachagua mechi na hata mechi ya Simba na Yanga tu mpaka promotion. kweli mechi ya Barca na Real inahitaji promo? yenyewe promo au City na Liverpool promo ya nini. Hiyo Final tu ya Real na Liver tarehe 28 watu wanatafuta ticket kama mwezi wa Ramadhan na hawapati ticket zimefika dola 2500$ na ticket hakuna. Ndio maana sisi badi turudi kwenye final 2 sababu zetu ni nyingi kiuchumi na safari ngumu ndani ya Africa too expensive.
 
Ni sawa na kusema waafrika badala ya Orlando, Mzungu ama mwarabu akitamka "Berkane niko nyuma yenu pigeni hao waafrika/wahindi. Huoni kama sio sahihi mzee, huu ni ubaguzi
Umeanza..
Yaani kichwa chako kinawaza ubaguzi tu dah
 
Asia still wanacheza final 2 sababu wanashida tofauti na sisi sio kiuchumi ila mashabiki team hazina mashibiki wa kusafiri kwa wingi kuangalia team zao tofauti na ulaya fan base ni kubwa na watu kila mechi wanajaza uwanja hata wacheze na team ya daraja la 3 full capacity, sisi huku tunachagua mechi na hata mechi ya Simba na Yanga tu mpaka promotion. kweli mechi ya Barca na Real inahitaji promo? yenyewe promo au City na Liverpool promo ya nini. Hiyo Final tu ya Real na Liver tarehe 28 watu wanatafuta ticket kama mwezi wa Ramadhan na hawapati ticket zimefika dola 2500$ na ticket hakuna. Ndio maana sisi badi turudi kwenye final 2 sababu zetu ni nyingi kiuchumi na safari ngumu ndani ya Africa too expensive.
Fuatilia vizuri mashindano ya Africa...Hata timu zikichezea nyumbani mashabiki hawaendi.....
 
Nadhani hii ni mara ya kwanza final kufanyika game moja tu neutral ground sasa hili ni shida sio utamaduni wetu sababu ziko nyingi. Mpira wa Africa unategemea na viwanja vya nyumbani washabiki kutengeneza shamrashamra na figisu nyingi ndio zinafanya final kunoga ukipeleka neutral ground washabiki wa team hizi kusafiri kwa hali zetu Africa umaskini gharama kubwa na visa sio rafiki sasa wenzetu ulaya kwanza visa free halafu kiuchumi wako vizuri na usafiri ni rahisi ndio maana final zao hazijalishi zinachezwa wapi zinakuwa full na hamasa. Nadhani turudi katika mfumo wetu wa home and away, na viwanja Africa sio vizuri haya tuje kufanya siku Africa nzima visa ziwe free na usafiri uwe wa uhakika. Ni sawa Simba na Yanga waingie final halafu uwapangia final Libya unategemea nini?
We jamaa hufuatilii mpira..Sio mara ya kwanza kwa fainali kuwa moja Afrika..ilianza miaka michache nyuma.... kuna timu ilishawahi kkugoma kuendelea na mechi kwenye fainali, baada ya upendeleo kuzidi... CAF wakaamua kufanya fainali moja kwenye neutral ground...... Fuatilia hata mechi za nyumbani na ugenini kwa timu nyingi mashabiki hawaendi..Sio hiyo ya faiinaali tu....
 
Mimi ni mshabiki mkubwa wa mpira ila sipendi mashindano ya Africa huwa nasinzia kwenye TV natizama mechi tu kama team za nyumbani zinacheza na sitizami kwa sababu ni bora ni ile hali nataka kuona zinafanya vipi basi ila kama niko neutral sipotezi muda viwango hakuna.
 
Back
Top Bottom