Mpo bongo na hamna kitu mnafanya.π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππππππππππππππππππππππππππππππππππ!
Wanaumeeeeeeeeeeeeπ§‘π§‘π§‘π§‘πͺπͺπͺπͺπͺπͺπΊπΊπΊ
Hebu nicheki bolii kwanza ntacheka Vizuri badae π€
ππππβ½β½β½β½β½β½β½π§‘π§‘π§‘
Washaanza kubebwa hahaaaaaaaaa
Nchi inaliwa kimasiharaMko bize na mpira NCHI inaibiwa ila wabongo bwana bongoless
tulieniiiii boli lipo kwa mwenyewe ππππππππππππMpo bongo na hamna kitu mnafanya.
Miji imepoa, kelele ni za Yanga tu. Wao wameshalala na simu wamezima. Tusingeishi kwa amani. Adui muombee njaa...Leo tunalala vyedi majumbani..kimyaaaaaπππ
Sio goli sasa haya liaMlijua mpo NBC sio,tuliwaambia hamna timu bali mlikutana na wagonjwa wenzenu mkawa mnatamba
Acha kabisa huku tuko bize na ubaya ubwelaNchi inaliwa kimasihara