Gusa achia twende kwao
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 916
- 1,031
Kwasababu moja Yaani Shida ya Simba ni mwishoni huku nyuma wanaweza wanacheza vzr kufika mwishoni Kila Mtu anataka kuwa star ⭐,budo anakomba anakomba unampa Mukwala anazingua,unampa Ahoua anazingua ... Mpanzu Ndio kabisa akupe chance 3 umwangushe anataka afunge yeye....Ooh. Kwanini?
Budo ni mechi ya nne kama si ya tano hii hakokoti mpira, Anagusa anaachia. Labda uniambie Mpanzu ni mchezaji wa kupunguza na kutoa nafasi hivyo one two zitamshinda.Kwasababu moja Yaani Shida ya Simba ni mwishoni huku nyuma wanaweza wanacheza vzr kufika mwishoni Kila Mtu anataka kuwa star ⭐,budo anakomba anakomba unampa Mukwala anazingua,unampa Ahoua anazingua ... Mpanzu Ndio kabisa akupe chance 3 umwangushe anataka afunge yeye....
Sawa Shida itakuja wapi ,anafanya kazi na Nani? yaani unampa mwenzako ashalenga goliBudo ni mechi ya nne kama si ya tano hii hakokoti mpira, Anagusa anaachia. Labda uniambie Mpanzu ni mchezaji wa kupunguza na kutoa nafasi hivyo one two zitamshinda.
Tunahitaji mshambuliaji hatari msimu ujao, Ateba naona anatabirika na kukabika kwa wepesi maana mipira inayoingia ndani ya box inatakiwa ikutane na washambuliaji wanaojua kutumia nafasi.Sawa Shida itakuja wapi ,anafanya kazi na Nani? yaani unampa mwenzako ashalenga goli
Wote hakuna kitu hapo.Kibu, ateba na mpanzu
Nani dogo we dogo?Kua na adabu dogo, mkubwa akikosea mfate pm, muelekeze kwa utaratibu kwamba braza pale ulikosea.
Dogo wewe dogoNani dogo we dogo?