Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Huyu Kaze Mfano Ingekuwa Nabi Kapata Matatizo Ya Kiafya Hatoweza Kuendelea Mpaka Mwisho Wa Ligi Wallah Kuna Game Tunafungwa Kabisaa..Afadhali arudi sababu huyu Kaze hana jipya. [emoji853]
Mimi sikuangalia mpira nilikuwa nacheza draft hapa kijiweni sasa kuna mdau wa yanga katoka banda umiza akiwa anasema kiukweli msimu huu yanga ameandaliwa kuchukua ubingwa bila kufungwa at any cost
Ndiyo mpira ulivyo. Ruvu Shooting nao wanapenda kubaki ligi kuu. Hivyo hawakuwa na namna, isipokuwa kupambana mwanzo mwisho.Leo Yanga wamezingua kinoma wamecheza chini ya kiwango sana.
Azam huwa wanazingua kwenye takwimu,Kuna siku waliweka Kona hakuna wakati zilipigwaMbali Ya Kunyimwa Goli na Red Kadi bado Ball Possession 55% Ruvu 45% YNG...!
Chirwa alimsukuma mtu na kiwiko juu. Ile ni fauloGoli la Chirwa ilikuwaje jana?
Mambo kama haya ndio yanasababisha tushindwe kuipima Yanga kwenye level xa kimataifaRuvu wamenyimwa goli lao halali kabisa.View attachment 2211485
Halafu simba wanahangaika kwenda Real Madrid kutafuta makocha wa gharama kubwa! Huku wakiwaacha Makocha Wazalendo kama hawa!Kwanza ameanza kukosea kupanga kikosi
Pili rovu shooting walikuwa wana cheza Mpira wa kuzuia saana yaani wote walikuwa wana jazana nyuma saana kwa timu kama hiyo utakiwi kucheza mipira ya juu alifikiri akicheza mipira ya juu wachezaji wa ruvu ni wafupi kiasi icho ?
Alichokuwa Na takiwa kucheza ni kuwapa Game possition yaani kuwapandisha alafu ana fanya mashambulizi ya kustukiza
Au kingine ni ku shoot mipira ya out Na lango kwa kutegemea namba 8 Na 6
Izi ni kama mbinu fulani tu fupi
Mpira umenajisiwa
Sure! We will be back stronger than everIla mwisho wa siku ndiyo hivyo tena. Tujipange kwa mechi ijayo. Naamini itakuwa ni kwa Mkapa, na mwenye timu yake atakuwepo.
Hivyo tutaendelea kutetema kama ilivyo desturi yetu. Hata leo tumegongesha sana miamba! Hata uwanja nao haukuwa rafiki kivile.
Sure! Kwasasa tungekuwa tumeshachukua ligi mapema kabisaMpira umenajisiwa
Kabla ya mpira watu wanakuja na matokeo yao mifukoni
Timu pinzani inacheza kukamlilisha ratiba tu kinachofuata hapo ni maamuzi yaliyoamuliwa na wakubwa
Na hii ni kama intro tu kwani wange authorize kile kimkataba cha udhamini ndio ingekuwa worst kabisa
Hii ndio furaha mliyobakizaMbali Ya Kunyimwa Goli na Red Kadi bado Ball Possession 55% Ruvu 45% YNG...!
Tufanye Yanga kafungwa itakusaidia nini?Ngoja nikufundishe mpira we kilaza,
Aliyefunga goli hakuwa offside
Aliyekuwa offside hakuhusika na mpira unasemaje sio Goli.View attachment 2211495
Mkuu kwani kipi ambacho kilikuwa kinakuweka katika kitendawili mpaka ukawa na mawazo mawili ya kufikiria Uto ni wakawaida au sio?
Hizo 42 za Simba zilikua kabla ya mechi ya Jana. Mpaka Sasa tofauti ni point 13, Yanga 56-Simba 43.Kabla ya mechi hii Yanga alikuwa amemzidi simba kwa points 13! (Yanga 55) na simba ana 42! Huku wakiwa wana michezo sawa.
Baada ya mechi hii Yanga atamzidi simba kwa points 14 (56), simba points 42! na pia Yanga atamzidi simba mchezo 1.
Mayele kakosa magoli manne mbili zimegonga post mbili kipa kadaka ulitaka Kaze afanyeje, huu ni mpira saa zingine msiwe mna laumu hata opponents wanataka ushindi piaKwanza ameanza kukosea kupanga kikosi
Pili rovu shooting walikuwa wana cheza Mpira wa kuzuia saana yaani wote walikuwa wana jazana nyuma saana kwa timu kama hiyo utakiwi kucheza mipira ya juu alifikiri akicheza mipira ya juu wachezaji wa ruvu ni wafupi kiasi icho ?
Alichokuwa Na takiwa kucheza ni kuwapa Game possition yaani kuwapandisha alafu ana fanya mashambulizi ya kustukiza
Au kingine ni ku shoot mipira ya out Na lango kwa kutegemea namba 8 Na 6
Izi ni kama mbinu fulani tu fupi
Wewe mdogo wake popoma tusha kuzoeaMimi sikuangalia mpira nilikuwa nacheza draft hapa kijiweni sasa kuna mdau wa yanga katoka banda umiza akiwa anasema kiukweli msimu huu yanga ameandaliwa kuchukua ubingwa bila kufungwa at any cost
Mimi sikumuelewa ila hapa ndio nimekuja kuelewa kwanini alisema vile
Amefanya nini Kaze? Hivi hamkubali kuwa sare ni matokeo ambayo yanapatikana kwenye mchezo wa Kabumbu?Afadhali arudi sababu huyu Kaze hana jipya. [emoji853]
Obstruction wewee!!Ngoja nikufundishe mpira we kilaza,
Aliyefunga goli hakuwa offside
Aliyekuwa offside hakuhusika na mpira unasemaje sio Goli.View attachment 2211495
Unaitfta furaha kwa nguvu , subiri ucheze na pambaMkuu kwani kipi ambacho kilikuwa kinakuweka katika kitendawili mpaka ukawa na mawazo mawili ya kufikiria Uto ni wakawaida au sio?
Zile kelele za Mayele ndio zilikumeza ukawa unaifikiria Yanga kwa ukubwa kiasi cha kuiona sio ya kawaida?
Wakati we unashikilia kauli mbiu ya play fair mwenzako anaitafsiri kuwa pay fair