FT: Ruvu Shooting 1-2 Yanga, Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa, Oktoba 3, 2022

FT: Ruvu Shooting 1-2 Yanga, Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa, Oktoba 3, 2022

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Wadau nawakaribisha ili tupeane kinachoendelea kwenye mech tajwa hapo juu.

Mchezo umemalizika: Kocha wa Ruvu Charles Mkwasa anasema timu yake haikustahili kupotez mchezo huu kwa kuwa walicheza vizuri lakini walizidiwa uzoefu na wachezaji wa Yanga.

90' Mchezo unaweza kumalizika muda wowote kuanzia sasa

84' Ruvu wanapata goli la kwanza kupitia kwa Msonjo

GOOOOOOOOOO

83' Denis Nkane anaingia, anatoka Kisinda, anaingia Aucho anatoka Sure Boy, anaingia Makambo anatoka Mayele

71' Beki Bakari Mwamnyeto anaipatia Yanga goli la pili

GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

51' Yanga wanapata goli kupitia kwa Fei Toto akimalizia kaiz nzuri kwa kichwa

GOOOOOOOOOOOOOOOO

50' Mchezo bado hauna kasi, Sure Boy anacheza pasi na Fei Toto

46' Mchezo umeshaanza, kipindi cha pili

Timu zinaingia kwa ajili ya kipindi cha pili

MAPUMZIKO: Matokeo ni 0-0

45' Mwamuzi wa akiba anaonesha dakika 2 za nyongeza

40' Ruvu nao wanaonesha uhai kwa kupiga pasi kadhaa

35' Ruvu wanafanya shambulizi kali lakini mpira unatoka

33' Mayele anapiga kichwa lakini mpira unatoka

20' Yanga wanaendelea kumiliki mpira, mashabiki wamepoa kiasi

5' Yanga wanamiliki mpira muda mwingi lakini bado hakuna mashambulizi ya kasi.

Mchezo umeanza.

FeJrSCuXgAICns2.jpg

Kikosi cha Yanga

FeJwkwNVUAEEXaR.jpg

Kikosi cha Ruvu Shooting

Mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Mkapa, Yanga wanahitaji ushindi ili kurejea kileleni katika ligi hiyo na pia kuendeleza rekodi yao ya kutopoteza mchezo.
 
Wadau nawakaribisha ili tupeane kinachoendelea kwenye mech tajwa hapo juu.

--------------

MAPUMZIKO: Matokeo ni 0-0

45' Mwamuzi wa akiba anaonesha dakika 2 za nyongeza

40' Ruvu nao wanaonesha uhai kwa kupiga pasi kadhaa

35' Ruvu wanafanya shambulizi kali lakini mpira unatoka

33' Mayele anapiga kichwa lakini mpira unatoka

20' Yanga wanaendelea kumiliki mpira, mashabiki wamepoa kiasi

5' Yanga wanamiliki mpira muda mwingi lakini bado hakuna mashambulizi ya kasi.

Mchezo umeanza.

View attachment 2376265
Kikosi cha Yanga

View attachment 2376271
Kikosi cha Ruvu Shooting

Mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Mkapa, Yanga wanahitaji ushindi ili kurejea kileleni katika ligi hiyo na pia kuendeleza rekodi yao ya kutopoteza mchezo.
Kwa hiyo ushindi wa 1-0, 2-0 Uto wanakuwa kileleni?
 
Back
Top Bottom