Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoe hata droo tu inatoshaUtopolo leo wamekutana na basi
Yule admin ni tatizo😂Muwe mnatuletea na Update za Admin wa Ruvu [emoji23][emoji23]
Sisi tumewatuma sareRuvu wanakosa goli la wazi
Mechi ikiisha yanga kafungwa nategemea kujifunza maneno mapya ya kufarijiRuvu wanakosa tena
Uto akili zenu huwa mnakabidhi kwa naniYanga inashinda..View attachment 2376282
1-0 hukooooooMechi ikiisha yanga kafungwa nategemea kujifunza maneno mapya ya kufariji
Mna bahatiGoaaaaaaaaaaaaaaal
Feysal katunyanyua wananchi