OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mkwasa ni Yanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mazari kama haya ni huku huku ligi kuu, kule CAF hakunaga abracadabra1-0 hukoooooo
So far, Yanga ikitangulia holi la kuongoza mashabiki online tunawaonaCha kwanza hicho......subirieni na vingine
Ulikiwa wapi kwenye zile kosa kosa za mwanao?Yanga piga hao.
Hivi mnaambizanaga au?Yanga piga Ruvu hao kama ngoma
Sema kweli,we umeona kuna timu ya kuifunga Al Hilal hapo?Cha kwanza hicho......subirieni na vingine
Yanga inashinda...Uto akili zenu huwa mnakabidhi kwa nani
UmeanzaMkwasa ni Yanga
Ndio mnajikusanya sasa,where have you been UtoYanga piga Ruvu hao kama ngoma
Hivi mnaambizanaga au?
Mbona unateseka?Hivi mnaambizanaga au?
Yanga sio watu wa maneno mengi, tulia bro subiri utajionea kwa machoSema kweli,we umeona kuna timu ya kuifunga Al Hilal hapo?
Teh tehMazari kama haya ni huku huku ligi kuu, kule CAF hakunaga abracadabra
Ndio mnajikusanya sasa,where have you been Uto
Mkikamiwa au kufungwa huwa kwa pamoja hamuonekani kwenye uziKuambizana nini mkuu?
Nauliza tu maana sio mara moja hii naionaMbona unateseka?
Sisi sio watu wa maneno maneno sana, maneno tumewaachia wanathimbaMkikamiwa au kufungwa huwa kwa pamoja hamuonekani kwenye uzi
Lakini mkitangulia goli la kuongoza, wote mnaanza kuja
Huwa mnafanya kikao?