FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Haya wananchi toeni 10,000 mkamuone kinda Skudu (33) kwa miaka 11 kacheza jumla ya dakika 4422 kwa kipindi chake chote, sawa na mechi 50.

Uzuri wa tamasha hili Skudu ni multitalent ana waofa wananchi kitu kingine cha ziada.

Yani ukisema hutaki kwenda uwanjani kwasababu hujaridhishwa na kiwango chake the guy is superb dancer you can enjoy his moves too.

So huna sababu ya kutoenda uwanjani.
 
View attachment 2696074
View attachment 2696075
Uwanja bado ni mweupe ndugu msikilizaji. Tuendelee kusubiri, tuwe na subira

Hapa hapa JF, itakuijia mechi ya kirafiki kati ya Yanga na Kaizer Chiefs mishale ya saa moja usiku.

Hakuna kukimbia
Mbona unateseka sana, Azzam sports 1 HD wapo live halafu wewe una post haya mauharo yako una shida gani kichwani?

Thread ya takwimu za Kibu Denis vs Mayele imekuvuwa nguo bado hujakoma tu?

Sidhani kama sasa hivi tupo kwenye utani wa jadi tena bali ni uchawi tu, halafu mlisharoga mvua yenu ya kishirikina inyeshe mmedhibitiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…