XII Tz
JF-Expert Member
- Aug 16, 2020
- 4,345
- 7,076
Show ya Chino inatuumbua maana kashuka chini ya steji hivyo camera inatupa wide, uwanja mweupeeeeee [emoji23][emoji23][emoji23]Yani kweli uchawi ni kipaji, yani sherehe ya Yanga lakini wanateseka Simba.
Halafu aliwadanganya nani walevi wa pombe wanaingia uwanjani saa hizi? Piteni hapo kwa Chichi na vipub vyote vya nje ya uwanja wa Taifa ni Nyomi watu wanakula kamnyeso na nyama choma.
Target ya wengi ni kuingia uwanjani muda wa kutambulisha wachezaji na kuangalia mechi na ratiba inajurikana.