FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Sipati picha kelele za vyura skudu akiperform kuliko aziz k.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawa madingi wanaleta burudani sana
 
Ebwana ehee Muda bado unaruhusu ,ni Raha tu raha tu.
Vituko vya JF, sherehe ya Yanga thread inaanzishwa na mbumbumbu wa Simba.

Wenye shughuri yetu wala hauna pressure kila kitu kina kwenda kama kinavyotakiwa kuwa.

Ila uchawi is real, hawa wenzetu wameshavuka level za ushabiki ni wachawi kamili.
 
Threads zote za Yanga huwa anaanzisha shabiki wa Simba 😀 😀 😀 😀 😀 mechi saa moja analeta picha alizopiga wakati ameenda kufanya mazoezi...Hivi anawajua mashabiki wa yanga huyo? Ngoja Picha real zije aumbuke.
 
Hivi Yanga Wameshindwa Nini Kujaza Uwanja Hadi Sahizi? Hata wasanii walio walipa wameshamaliza Kuperfom lakini hamna watu
 
Hata nje pia watu sio nyomi.
Screenshot_20230722-161908.jpg
 
Back
Top Bottom