FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

20230721_121518.jpg

.
 
Hii Chuma ya Yanga ni Kama CCM tu..nikinunua hii Kampeni mwakani sihangaiki
 
Nina uhakika Mayele yupo Dar na leo ni siku yake rasmi ya Parade la kuagwa kama deal done na Pyramids.

Tusisahau kuna sapraiz leo, na ninawahakikishia Mayele yupo Dar mpaka Jana usiku.

Wanawadanganya hakuna Cha Supprise Wala nini

Simba wamemtambulisha Miquesson mkakusudi yanga wangetumia loophole kuwadanganya mashabiki.
 
Ally mayai ANATAKA kutunyima Simba Uwanja.

Simba Day 6/8

HAJUI sisi ndio waasisi WA Kila KITU Hadi hizo sherehe.

Ally mayai 0
 
Back
Top Bottom