FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Mliosema uwanja utajaa jionii, hapa ni wapi ?? [emoji23][emoji23]
 
Moja ya sajili itayopewa lawama msimu huu ni hii sajili ya namba 6

Hifadhi haya maneno yangu na pengine leo kwenye mechi hii ya kirafiki watu wakaanzia hapa kukata tamaa
 
Mbona mshaanza kutafuta visingizio? Hii ni mechi ya kirafiki tu ,matokeo si ya umuhimu ndiyo maaana hata msimu uliopita mechi ya utambulisho tulifungwa na watani wanajua kilichotokea.
Ili furaha ikamilike inabidi hii mechi mshinde hivyo acha kujifariji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…