FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

FT: Siku ya Wananchi | Uwanja wa Benjamin Mkapa, Julai 22, 2023 I Yanga 1 - 0 Keizar Chiefs

Pamoja na kuweka kikosi cha under 20 ila bado wanasumbua [emoji23]
 
Mwaka huu Yanga lazima watafutane. Na mashabiki wao walivyo wepesi kukata tamaa 😂. Kazi ipo. Lazima wararuane mwaka huu. Hakuna timu kiufupi hali mbaya.
 
Huyo kiungo wa KizerChief (Castillo) anakichafua sana hapo kati, viungo wa south america huwa hawana show mbovu.

Amenikumbusha mambo ya Fraga.
 
Kuna chanel yoyote ya bure azam tv inaonesha huu mchezo
 
Back
Top Bottom