Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga Huwa hamuoni wachezaji warefu?View attachment 2696074
View attachment 2696075
Uwanja bado ni mweupe ndugu msikilizaji. Tuendelee kusubiri, tuwe na subira
Hapa hapa JF, itakuijia mechi ya kirafiki kati ya Yanga na Kaizer Chiefs mishale ya saa moja usiku.
Hakuna kukimbia
We ni shabiki wa yanga ?Kuna chanel yoyote ya bure azam tv inaonesha huu mchezo
huu mpira nausikiliza, naona skudu anatajwa sana...Msimu uliopita winga zetu hazikuwa vizuri ila kwa mechi hii kama kuna kitu na kiona.
yamekuwa hayo tena....Hiki kikosi B Kaizer kitapigwa. Kimelegea mno
jibu nilichoulizaWe ni shabiki wa yanga ?
Acha kupenda vya bure mkuujibu nilichouliza
poaAcha kupenda vya bure mkuu