FT: Silver Strikers 1-0 Yanga SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Bingu National Stadium| 18.10.2025 | Saa 10:00 Jioni

FT: Silver Strikers 1-0 Yanga SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Bingu National Stadium| 18.10.2025 | Saa 10:00 Jioni

FB_IMG_17594175060674048.jpg
 
Duke Abuya anahitajika kwenye hii mechi. Wapinzani wana stamina ya kutosha ukilinganisha na viungo wetu walioanza kwenye hii mechi.

NB:- Andy Boyeli ana wakati mgumu. Kama asipo ongeza bidii, uwezekano wa kubakia mwishoni mwa msimu ni mdogo sana hata kama ni chaguo la mwalimu Romain Folz. Muda mwingi anaruka ruka tu.
 
Duke Abuya anahitajika kwenye hii mechi. Wapinzani wana stamina ya kutosha ukilinganisha na viungo wetu walioanza kwenye hii mechi.

NB:- Andy Boyeli ana wakati mgumu. Kama asipo ongeza bidii, uwezekano wa kubakia mwishoni mwa msimu nibmdiho sana hata kama ni chaguo la mwalimu Romain Folz.
Timu haina ubunifu zaidi ya kumtegemea Pacome
 
Injinia Hersi bora ungemsajili tu Jonathan Sowah! Huyu Andy Boyeli mbona anatetemeka tu miguu! Mshambuliaji gani anakosa kujiamini kwenye eneo la adui!
 
Injinia Hersi bora ungemsajili tu Jonathan Sowah! Huyu Andy Boyeli mbona anatetemeka tu miguu! Mshambuliaji gani anakosa kujiamini kwenye eneo la adui!
Hata Sowah angekutana na huyu kocha Folz angekuwa na wakati mgumu. Jiulize tu wachezaji wote waliotamba msimu uliopita wameshushwa viwango ghafla tu na hawa walimu wa sasa.
 
Kipindi cha pili kocha wa Yanga anatakiwa kumtoa Andy Boyeli, maana ndani ya dakika zote 45 za kipimdi cha kwanza hakuna alichokifanya pame mbele.

Na pia angemtoa kiungo mmoja kati ya Mudathir Yahya Abbas, au Mohamed Doumbia kutokana na ukweli kwamba viungo wote wawili wanacheza mchezo unaofanana. Na badala yake angeingia Duke Abuya mzee wa kazi kazi.

All in all, nawapa pongezi Silver Strikers kwa kucheza vizuri, na pia kwa kufanikiwa kuwadhibiti Yanga (hasa eneo la kati) ndani ya dakika zote 45 za kipindi cha kwanza.
 
Injinia Hersi bora ungemsajili tu Jonathan Sowah! Huyu Andy Boyeli mbona anatetemeka tu miguu! Mshambuliaji gani anakosa kujiamini kwenye eneo la adui!
Kwahiyo unaamini tatizo la Yanga ni Boyeli tu?
 
Hii timu haina wachezaji quality kama waliopo Yanga ila naona dalili ya kuishangaza Yanga kama Yanga haitobadilika. Safari ya makundi inaweza kuwa ngumu huyu Folz ni kiazi sana.
Wachezaji wengi viwango vinaporomoka kwa kasi, ukurupukaji mwingi kwa sehem kubwa ya wachezaji, sehemu ya kutoa simple pass ana dribble, sehem ya ku shot anapiga chenga anapoteza, na kocha yupoyupo tu anakenua, hovyo yan🚮🚮😀
 
Kushuka kiwango kwa wachezaji kumetokana na kocha. Ni Aucho pekee ndio kaondoka katika kikosi cha kwanza lakini kinachochezwa humu ndani unaweza kusema hii sio Yanga ni Ken gold. Hakuna mipango kila mmoja anacheza anavyojua. Uongozi wa Yanga kuendelea kubakia na huyu kocha ni kutukosea mashabiki wa Yanga.
 
Nikiwambia hapa hamna coach mkabisha Sasa ona.
Boyeli tapeli
Muda ana fatigue
Doumbia anafaa aingie kipindi cha pili kubadilisha mchezo ila coach kilaza anamwanzisha eti
 
Back
Top Bottom