FT: Silver Strikers 1-0 Yanga SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Bingu National Stadium| 18.10.2025 | Saa 10:00 Jioni

FT: Silver Strikers 1-0 Yanga SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Bingu National Stadium| 18.10.2025 | Saa 10:00 Jioni

Yaani Eng Hersi aoni aibu kupewa vyeo FIFA na CAF halafu timu yake inaonekana ni bovu hivi.
Yuko pale kwa maslahi yake Wala sio ya yanga ...mkija kujua mtakua mmechelewa sana
 
Duke Abuya alitakiwa aanze kuanzia mwanzo! Viungo wote watatu wa kati walioanza leo walikuwa wanacheza mpira wa taratibu sana! Unamuingiza eti dakika ya 78!
 
Duke Abuya alitakiwa aanze kuanzia mwanzo! Viungo wote watatu wa kati walioanza leo walikuwa wanacheza mpira wa taratibu sana! Unamuingiza eti dakika ya 78!
Tulia dawa ikuingie vizuri
 
Awali sikutaka kabisa kuji involve na maswala ya mpira katika hiki kipindi
1760798627067.png
 
Duke Abuya alitakiwa aanze kuanzia mwanzo! Viungo wote watatu wa kati walioanza leo walikuwa wanacheza mpira wa taratibu sana! Unamuingiza eti dakika ya 78!
Mzee hapa kufuzu tena makundi ndio imeyeyuka.
 
Kocha Romain Folz amecheza kamari ya kipuuzi sana kwenye mechi ya leo.

Dalili za kuvurunda kwenye hii mechi zilianza kuonekana kuanzia dakika za mwanzo kabisa. Na kwa bahato mbaya alishindwa kuusoma mchezo kwa wakati.
 
Mi.nilisema hatufiki makundi na Folz, Kuna mtu humu aliniambia yanga tutachezea uzoefu😅😅..
Bado tuna dakika nyingine 90 za kupindua meza. Ila hapa tungepata hata sare tu, ingetusaidia.

NB:- Ila huyu kocha huyu!!
 
Utapeli mtupu...
Humu hatuna timu...
 
Bado tuna dakika nyingine 90 za kupindua meza. Ila hapa tungepata hata sare tu, ingetusaidia.

NB:- Ila huyu kocha huyu!!
Lakini we si ulikuwa miongoni mwa watu waliokuwa wanamtetea?
 
18 October 2025
Lilongwe, Malawi
Dakika 96'

Bingu wa Mutharika National Stadium Lilongwe
FULL - TIME CAF CHAMPIONS LEAGUE

SILVER STRIKERS 1 - 0 YOUNG AFRICANS
 
Back
Top Bottom