Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Uto wakipigwa nasikia raha zaidi ya kuikojolea😂😂😂😂😂😂
Bado tuna dakika nyingine 90 za kupindua meza. Ila hapa tungepata hata sare tu, ingetusaidia.
NB:- Ila huyu kocha huyu!!
Mkuu leo tunazidi kukazia maoni ya ngara23 kwamba huyu kocha HAFAI KABISA.Duke Abuya alitakiwa aanze kuanzia mwanzo! Viungo wote watatu wa kati walioanza leo walikuwa wanacheza mpira wa taratibu sana! Unamuingiza eti dakika ya 78!
Hapana wamwache mwakani tukacheze shirikisho😅😅😅Ikiwezekana Kocha akatiwe tiketi ya Air Malawi siti bado zipo arudi kwao.