Kipindi cha pili kocha wa Yanga anatakiwa kumtoa Andy Boyeli, maana ndani ya dakika zote 45 za kipimdi cha kwanza hakuna alichokifanya pame mbele.
Na pia angemtoa kiungo mmoja kati ya Mudathir Yahya Abbas, au Mohamed Doumbia kutokana na ukweli kwamba viungo wote wawili wanacheza mchezo unaofanana. Na badala yake angeingia Duke Abuya mzee wa kazi kazi.
All in all, nawapa pongezi Silver Strikers kwa kucheza vizuri, na pia kwa kufanikiwa kuwadhibiti Yanga (hasa eneo la kati) ndani ya dakika zote 45 za kipindi cha kwanza.