Kwa mwendo huu hata shirikisho HATUCHEZIHapana wamwache mwakani tukacheze shirikisho😅😅😅
Yaani hana mindset yeye anajua kupiga cross ru hovyohovyoYan ucheze caf ukiwa attacking full back ya Boka ? Beki anae zan kukimbia na kupiga cross ovyo ndo unyama😂
Akiendelea kuwepo hata shirikisho hatupati nasafi ya kushiriki.Hapana wamwache mwakani tukacheze shirikisho😅😅😅
Mimi nawapenda na nawashabikia kocha nawachezaji wa yanga wabovu.Sisi wataalam wa mpira tuliwambia huyu coach ni tapeli mkabisha
Wachezaji wabovu kivipi wakati katika last season ni mchezaji mmoja tu ndio ameondoka katika first eleven (Aucho). ubovu wa wachezaji umetokana na ubovu wa kocha.Mimi nawapenda na nawashabikia kocha nawachezaji wa yanga wabovu.
Ni sawaa tuAkie
Akiendelea kuwepo hata shirikisho hatupati nasafi ya kushiriki.
mkewangu kumbe nawewe unajua mambo ya ball na ushauri unatoa kabisa😁😁😁😁hongeraMimi kama mke wa aliekata kamba nawapenda yanga na nawashabikia kocha nawachezaji wa yanga wabovu.helooooooooo ooooo pambe tuuuuuuuuuuuuuuu yanga akeeee weweeeeee