FT: Silver Strikers 1-0 Yanga SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Bingu National Stadium| 18.10.2025 | Saa 10:00 Jioni

Comrade, unasemaje timu haina mwalimu!
Mwalimu yupo. Anaitwa Romain Folz! Ni mwalimu kijana kabisa mwenye umri wa miaka 35.
Tena ana vyeti, wasimkatae
Nyie si kocha wenu ana vyeti
 
Ila UTO kwakusumbuliwa na wachezaji wenye majina yakipekee hawajambo.

Mara Uchizi vunga mara Kapumbu.
 
Keuboard worriors huwa tunapona siku zote.

Usiwe unakaa kimya, kwa hii hali ilivyo ukimya wako unaniletea huzuni
Hahahaaa. Na ndo ipo hivyo siku zote wale wafuata upepo ndo inakulaga kwao. Lol.

Usijali sometimes mambo yanakuwa mengi hatari. 🀝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…