Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Pole sana mkuu, upo chimbo gani leo?Wakuu katika harakati za kuwahi mechi nimekoswa koswa daah. Kesho mngeandika RIP vinci.
Nilikata Kona kuingia barabarani afu kuna kishada/boda alikua anakuja moto siamini nimenusurika
But I made it, nimefika ukumbini salama
[emoji120][emoji120][emoji120] hallahWana Siiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaaa
Siku ya leo ni ya motooo...
Bingwa wa Africa yanii timu namba moja kwa ubora Africa... na timu ya Tano kwa ubora Barani Africa wanakutana...miamba kabisa ya soka barani Africa...mchezo wa kufa na kupona...
Nawatakia kila la heri wana Simba wote....
HAIJAISHA MPAKA IISHE...
SIMBA NGUVU MOJA...
pole sana , Mungu mwemaWakuu katika harakati za kuwahi mechi nimekoswa koswa daah. Kesho mngeandika RIP vinci.
Nilikata Kona kuingia barabarani afu kuna kishada/boda alikua anakuja moto siamini nimenusurika
But I made it, nimefika ukumbini salama
kuna jitu linakufa
Leo ni Kibu D ndo mshambuliaji kiongozi.Simba haina striker aisee
Wapo wafungajiSimba haina striker aisee
Pole mkuu, hizo moments huwa zinatokea maishani. Nakumbuka nikiwa form one nilikoswa na ambulance mpaka raia waliokuwa pembeni wakapiga kelele, hapo navuka barabara niingie home (ng'ambo ya pili).Wakuu katika harakati za kuwahi mechi nimekoswa koswa daah. Kesho mngeandika RIP vinci.
Nilikata Kona kuingia barabarani afu kuna kishada/boda alikua anakuja moto siamini nimenusurika
But I made it, nimefika ukumbini salama
Kwendra
achana na mpewa vya bure na GSMUwanja gani huo ambao upo tupu mpaka sasa?
Kwanini inawauma sana nyinyi kuingiza mashabiki bure kiasi cha kutafuta faraja nyepesi kama hizi?
Kua makini mkuuWakuu katika harakati za kuwahi mechi nimekoswa koswa daah. Kesho mngeandika RIP vinci.
Nilikata Kona kuingia barabarani afu kuna kishada/boda alikua anakuja moto siamini nimenusurika
But I made it, nimefika ukumbini salama