Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Pole sana mkuu, upo chimbo gani leo?Wakuu katika harakati za kuwahi mechi nimekoswa koswa daah. Kesho mngeandika RIP vinci.
Nilikata Kona kuingia barabarani afu kuna kishada/boda alikua anakuja moto siamini nimenusurika
But I made it, nimefika ukumbini salama